+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Miujiza ya Majini

Original price was: KShs270.00.Current price is: KShs243.00. exc. VAT

Miujiza ya Majini Mwandishi: Ali Attas ISBN: 978 9966 630 03 2 ?Baba angalia ziwani. Kuna viboko!? Adamu aliinuka, akasimama haraka huku macho yake yakilenga kule walikoibuka wale viboko. Jelani naye akakurupuka kando ya kaka yake mkubwa. ?Jelani, angalia wale viboko kule. Tabia yao si ya kawaida. Wanaonekana wamepagawa,? Adamu alisema huku sura yake ikifinya.…

Category:

Description

?Baba angalia ziwani. Kuna viboko!? Adamu aliinuka, akasimama haraka huku macho yake yakilenga
kule walikoibuka wale viboko. Jelani naye akakurupuka kando ya kaka yake mkubwa. ?Jelani, angalia wale viboko kule. Tabia yao si ya kawaida. Wanaonekana wamepagawa,? Adamu alisema huku sura yake ikifinya. Mishale ya msisimko ilimchoma.
?Wamepagawa? Mbona sijakuelewa kaka.? ?Kawaida wakiibuka na kuonyesha tabia hiyo, huwa kuna kiumbe mwingine hatari karibu nao,? Adamu alitamka

Additional information

Weight 0.1 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X