Our Products

Nguvu wa Shimoni

Nguvu wa Shimoni

Category : COMING SOON,Hadithi Sisimuzi
Author : Ali Attas
Show Products >
ISBN : 978 9966 630001

295.00 Ksh

(Price Subject to 16% VAT) 
 

Katika ukungu wa ndoto, aliona kiumbe nusu msichana nusu samaki akiibuka. Kiumbe huyo alipunga mkono kwa ishara ya kumwita Shani Kisha akapotea.

Giza likayeyuka. Likapishana na mcharuko wa kokoiko ya majogoo uliokaribisha mapambazuko ya alfajiri.

Shani na Zani walikurupuka asubuhi na mapema. Zani alichangamka. Shani alikuwa mchoovu. Baada ya kunawa nyuso zao, Shani na ndugu take walielekea katika chumba cha kula.

“Mbona sura yako imesinyaa kidogo, Shani?” Mama Yao alimwuliza kwa mshangao Shani alipomsabahi. Alikuwa akiandaa kiamshakinywa.

“ah! Nimeota ndoto nimezama katika ndoto za pepo!” Zani alijigamba.

“Usijali Shani. Burudani za Shimoni na Wasini zitaufukuza uchovu wako!” Mama Yao alimtuliza.

Other Products

Early Childhood-The Amazing First Years

Category : COMING SOON
Author : Diane Omondi et al
Show Products >
ISBN : 978 9966 630049

 Ksh

(Price Subject to 16% VAT) 

Sokwe wa Milima ya Mwezi

Category : COMING SOON,Hadithi Sisimuzi
Author : Ali Attas
Show Products >
ISBN : 978 9966 630025

295.00 Ksh

(Price Subject to 16% VAT) 

Miujiza ya Majini

Category : COMING SOON,Hadithi Sisimuzi
Author : Ali Attas
Show Products >
ISBN : 978 9966 630032

295.00 Ksh

(Price Subject to 16% VAT) 

Pepo za Mizimu

Category : COMING SOON,Hadithi Sisimuzi
Author : Ali Attas
Show Products >
ISBN : 978 9966 630018

295.00 Ksh

(Price Subject to 16% VAT) 

Information for

AUTHORS
Publish with us
BOOKSELLERS
Links to Textbook Centre, Gabby Books etc.
SOCIETIES
Publishing services for partners