Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Search in posts
Search in pages
Filter by Categories
NEWS

Pepo za Mizimu

Pepo za Mizimu

KSh295.00

Category : COMING SOON,Hadithi Sisimuzi
Author : Ali Attas
ISBN : 978 9966 630018
Compare
In stock N/A , .

Upepo ulivuma kidogo, ukiliza sauti ngeni ya kusononeka. Juma mara alihisi kitu kinamvuta kama sumaku hadi mbuyuni. Matagaani, mbuyu huo haukuwa na jani hata moja. Ila ghafla jani moja lilizuka, likapeperuka na kuelea hewani kisha likadondokea chini ya miguu yake.

Juma alipigwa na butaa, akalitumbulia macho jani hilo. Baada ya nukta mbili tatu, aliinama chini, akalitoa. Jani lenyewe lilikuwa bichi. Aliamua kulinusa. Kufumba na kufumbua, jani lilinyauka na mikononi mwake.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Pepo za Mizimu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *