+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi 5

Original price was: KShs460.00.Current price is: KShs414.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi 5 Author: Mwalimu Kipande ISBN: 978 9966 349 30 9 Stadi za Kiswahili kwa Shule za Msingi ni vitabu vya kiada vilivyodhamiriwa kubadilisha ufundishaji wa Kiswahili.

Out of stock

Description

Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi 5
Author: Mwalimu Kipande
ISBN: 978 9966 349 30 9
Stadi za Kiswahili kwa Shule za Msingi ni vitabu vya kiada vilivyodhamiriwa kubadilisha ufundishaji wa Kiswahili.

Vitabu hivi vimeandikwa kwa njia ya kipekee kwa manufaa ya mwanafunzi na mwalimu. Yaliyomo yamepangiwa kwa utaratibu mwafaka kuanzia na dhana zinazoeleweka kwa urahisi na kumalizia kwa zile zinazotatiza. Aidha, sura zimepangwa kwa kufuata mantiki kwamba ni muhimu mwanafunzi awezeshwe kusikiliza na kuongea, kisha asome na mwisho aandike. Dhana za sarufi na msamiati zimewekwa mwishowe kwani ndizo vijenzi vya stadi za lugha.

Stadi nne za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika zimeshughulikiwa kwa njia rahisi, inayoeleweka na inayomvutia msomaji.

Additional information

Weight 0.4 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X