Your cart is currently empty!
Your cart is currently empty!
Hekaya za Hekima ISBN: 978 9966 34 798 5 Mwandishi: Jamil Al Jabry Hekaya za Hekima ni mkusanyo wa hadithi fupifupi za kufunza maadili. Kitabu kimesheheni mafunzo mengi. Pamoja na mafunzo hayo msomaji ataburudishwa na matendo ya wahusika mbalimbali
Hekaya za Hekima
ISBN: 978 9966 34 798 5
Mwandishi: Jamil Al Jabry
Hekaya za Hekima ni mkusanyo wa hadithi fupifupi za kufunza maadili. Hadithi hizi zilichapishwa asilia katika Kitabu cha Kihind Panchatantra. Kitabu hicho kiliandikwa na Vishnu Sharma. Kilichapishwa katika Karne ya tatu Kabla ya Enzi ya Pamoja (B.C.E)
Tangu kuchapishwa kwake, inaaminika kimetafsiriwa katika zaidi ya lugha hamsini za ulimwengu. Hadithi zilizomo katika Hekaya za Hekima zilitolewa katika tafsiri ya Panchatantra ya Kiarabu Kalila na Dimna.
Kitabu kimesheheni mafunzo mengi. Pamoja na mafunzo hayo msomaji ataburudishwa na matendo ya wahusika mbalimbali
| Weight | 0.1 kg |
|---|
โ ๏ธ Important Notice: Annual Stocktake Closure
Please note that we will be closed for our annual stocktake from today, 26th November 2025, to Friday, 28th November 2025.
Any orders placed during this time will be processed starting Monday, 1st December 2025. Thank you for your patience!
Notifications