Description
Kuku anatafuta mahali pazuri pa kutagia mayai. Anapata adui wa mayai yake kila pahali anapoenda.Yai lake la kwanza linabebwa na maji ya mto.Yai la pili linaliwa na mbwa.Kuku anasumbuka sana.Je, kuku atapata pahali salama?
Kuku na Mayai Mwandishi: Nyakeri ISBN: 978 9966 341 78 1 Kuku anatafuta mahali pazuri pa kutagia mayai. Anapata adui wa mayai yake kila pahali anapoenda.Yai lake la kwanza linabebwa na maji ya mto.Yai la pili linaliwa na mbwa.Kuku anasumbuka sana.Je, kuku atapata pahali salama?
Kuku anatafuta mahali pazuri pa kutagia mayai. Anapata adui wa mayai yake kila pahali anapoenda.Yai lake la kwanza linabebwa na maji ya mto.Yai la pili linaliwa na mbwa.Kuku anasumbuka sana.Je, kuku atapata pahali salama?
| Weight | 0.05 kg |
|---|
Your cart is currently empty!
Notifications