Description
Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:
- Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 8
- Maswali dadisi yametumiwa kumfikirisha mwanafunzi
- Kimejumisha shughuli za mwanafunzi binafsi,shughuli za wanafunzi wawiliwawilina za makundi
- Kimejumuisha mada na mada ndogo zote
- Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 8
- Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 8
- Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi
- Kimeshughulikia masuala mtambuko yote
- Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi
- Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza,Kusoma na Kuandika.
Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 8 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.
Reviews
There are no reviews yet.