Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2

Original price was: KShs495.00.Current price is: KShs446.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2

Description

Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Pili ni kitabu cha kiada cha Kiswahili kilichoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

  • Kinatumia Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Pili.
  • Kinatumia maswali dadisi kukuza umilisi wa uwazaji wa kina na utatuzi wa matatizo
  • Kinajumuisha shughuli za mwanafunzi akiwa peke yake,akiwa na wenzake na akiwa na wenzake katika kikundi
  • Kinajumuisha mada na mada ndogo zote zilizomo katika mtaala wa Kiswahili wa kiwango hiki
  • Yaliyomo yanawasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu
  • Kinashughulikia matokeo yote maalum yanayotarajiwa kwa mujibu wa mtaala wa kiwango hiki
  • Kinajumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa mtaala wa Kiswahili wa Gredi ya Pili
  • Kinakuza maadili kwa mujibu wa Mtaala wa Kiswahili wa Gredi ya Pili
  • Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kuskiliza na Kuzungumza,Kusoma na Kuandika pamoja na Sarufi.

Hayo na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya Pili kutumia Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

Additional information

Author

Mwalimu Kipande

ISBN

9789966635990

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.