Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 8

Original price was: KShs720.00.Current price is: KShs648.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Nane ni kitabu cha kiada cha Kiswahili kilichoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: kinatumia Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Nane, kinatumia maswali dadisi kukuza uwazaji kina na utatuzi wa matatizo, kinajumuisha shughuli za mwanafunzi akiwa peke yake, akiwa…

Description

Author : Patrick  Rapala, Faith Kathure, Margaret Mukabane

ISBN :  9789966635525

Additional information

Author

Patrick  Rapala, Faith Kathure, Margaret Mukabane

ISBN

9789966635525

Select at least 2 products
to compare