Description
Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwalimu -Gredi ya 5
Author : Mwalimu Kipande
ISBN : 9789966632944
Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: ● Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 5.● Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo.● Kimejumuisha shughuli za mwanfunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawili/wawili na za makundi ya wanafunzi.●…
Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwalimu -Gredi ya 5
Author : Mwalimu Kipande
ISBN : 9789966632944
| Author | Mwalimu Kipande |
|---|---|
| ISBN | 9789966632944 |
Your cart is currently empty!
Notifications