Description
Author : Margaret Mukabane et al
ISBN : 9789966636065
Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki, Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya Tisa, kinadhamiriwa kumwezesha mwalimu kufanikisha ujifunzaji wa yaliyomo katika Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Tisa. Mwalimu anaelekezwa jinsi ya: kutumia maswali dadisi ili kumfikirisha mwanafunzi,…
Author : Margaret Mukabane et al
ISBN : 9789966636065
| Author | Margaret Mukabane et al |
|---|---|
| ISBN | 9789966636065 |
Your cart is currently empty!
Notifications