Moran Kiswahili Chanana – Learner’s Book Grade 11

Original price was: KShs846.80.Current price is: KShs762.12. inc. VAT

Moran Kiswahili Chanana – Learner’s Book Grade 11 Authors : M. Ndung’u et al ISBN : 9789966637956

Category:
Tags:

Description

Kiswahili Chanana, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Kumi na Moja ni kitabu cha kiada cha Kiswahili kilichoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

  • kina sehemu za Matarajio zinazomfahamisha mwanafunzi awali yale atajifunza katika mada ndogo,

  • kina sehemu za Muhtasari zinazofafanua dhana mbalimbali ambazo mwanafunzi anajifunza,

  • kina sehemu za Kazi ya Ziada zinazompa mwanafunzi nafasi ya kuendelea kujiimarisha katika yale anayojifunza,

  • kina sehemu za Jitathmini zinazompa mwanafunzi nafasi ya kujitathmini na kutafakari kuhusu yale aliyojifunza katika mada ndogo,

  • kinatumia maswali dadisi kukuza umilisi wa uwazaji kina na utatuzi wa matatizo,

  • kinajumuisha shughuli za mwanafunzi akiwa peke yake, akiwa na mwenzake na akiwa na wenzake katika kikundi,

  • kinajumuisha umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko na maadili yanayofaa kukuzwa kwa mujibu wa Mtaala wa Kiswahili wa Gredi ya Kumi na Moja,

  • shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika pamoja na Matumizi ya Lugha.

Hayo na mengine mengi yanadhamiriwa kumwandaa mwanafunzi wa Gredi ya Kumi na Moja ili aweze kutumia Kiswahili sanifu katika miktadha mbalimbali ya ulimwengu wa ajira na pia kuendelea na masomo ya juu.

Additional information

Weight 0.2 kg
Author

M. Ndung’u et al

ISBN

9789966637956

Select at least 2 products
to compare