Description
Author : Beth Mutugu
ISBN : 9789966637765
Azimio la Maisha ni tamthilia ambayo inaangazia changamoto ambazo zinawakumba vijana katika jamii ya sasa kutokana na mabadiliko ya mazingira ya kijamii na kiuchumi. Mwangaza, kijana chipukizi, anajipata katika hali hiyo. Pamoja na familia yake, wanahama mjini kisha kuanza maisha mapya kijijini.Mwangaza anakumbana na changamoto nyingi zinazotishia kumbwaga katika dimbwi kuu la kukata tamaa.Anaingia katika…
Author : Beth Mutugu
ISBN : 9789966637765
| ISBN | 9789966637765 |
|---|---|
| Author | Beth Mutugu |
Your cart is currently empty!
Notifications