Dama na Ndama

Original price was: KShs230.00.Current price is: KShs207.00. exc. VAT

Dama na Ndama Author: Timothy Omusikoyo ISBN: 978-9966-6311920 Vitabu hivi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana.

Description

Dama na Ndama
Author: Timothy Omusikoyo
ISBN: 978-9966-6311920
Vitabu hivi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa na watoto wanaoanza kusoma hadi vile vyenye ugumu kiasi vya kusomwa na watoto wenye uwezo ulioimarika wa kusoma.

Additional information

Weight 0.1 kg

Select at least 2 products
to compare

โš ๏ธ Important Notice: Annual Stocktake Closure

Please note that we will be closed for our annual stocktake from today, 26th November 2025, to Friday, 28th November 2025.

Any orders placed during this time will be processed starting Monday, 1st December 2025. Thank you for your patience!