Haki ya Ruto

Original price was: KShs200.00.Current price is: KShs180.00. exc. VAT

Haki ya Ruto Mwandishi: Mutuku ISBN: 9789966341853

Description

Mzee Tamaa alisikia sauti ya Mwalimu Rose. Alitoka alikokuwa ameketi na kuwakaribia Ruto na Mwalimu Rose.

“Wewe ni nani na unafanya nini hapa kwangu?”Mzee Tamaa alimuuliza Mwalimu Rose kwa ukali.

“Naitwa Mwalimu Rose na Ruto ni mwanafunzi wangu,” Mwalimu Rose alijibu kwa upole.

Je, Ruto atapata haki?

Additional information

Weight 0.05 kg
Author

Mutuku

ISBN

9789966341853

Select at least 2 products
to compare