+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Hatua ya Kwanza : Matamshi Bora Chekechea ya 2

Original price was: KSh400.00.Current price is: KSh360.00. exc. VAT

Hatua ya Kwanza : Matamshi Bora Chekechea ya 2 Author : ISBN : 978 9966 63 5 549

Category:

Description

Hatua ya Kwanza : Matamshi Bora Chekechea ya 2 ni kitangulizi cha Kiswahili kwa wanafunzi kutamka sauti za Kiswahili za herufi moja.Sauti hizi ni za vokali na konsonanti.Isitoshe, kinamwezesha kutamka silabi na maneno yenye sauti hizo.Picha zimetumiwa kwa wingi ili kumsaidia mwanafunzi kuona uhusiano wa maneno na vitu,viumbe na vitendo.

Katika kiwango hiki,ni muhimu mwanafunzi asaidiwe kutamka.Ni muhimu asikilize kwanza sauti,silabi na maneno yakitamkwa ili aige matamshi haya.Mwalimu,mzazi au mlezi anashauriwa kuhakikisha kuwa mwanafunzi anatamka sauti husika kwa usahihi.Pia,ni muhimu mwanafunzi ahusishwe kuchora na kupaka rangi maumbo ya sauti husika.

 

Additional information

ISBN

978 9966 63 5 549

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X