Description
Hekaya za Hekima
ISBN: 978 9966 34 798 5
Mwandishi: Jamil Al Jabry
Hekaya za Hekima ni mkusanyo wa hadithi fupifupi za kufunza maadili. Hadithi hizi zilichapishwa asilia katika Kitabu cha Kihind Panchatantra. Kitabu hicho kiliandikwa na Vishnu Sharma. Kilichapishwa katika Karne ya tatu Kabla ya Enzi ya Pamoja (B.C.E)
Tangu kuchapishwa kwake, inaaminika kimetafsiriwa katika zaidi ya lugha hamsini za ulimwengu. Hadithi zilizomo katika Hekaya za Hekima zilitolewa katika tafsiri ya Panchatantra ya Kiarabu Kalila na Dimna.
Kitabu kimesheheni mafunzo mengi. Pamoja na mafunzo hayo msomaji ataburudishwa na matendo ya wahusika mbalimbali
Reviews
There are no reviews yet.