+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Hidaya Yangu

Original price was: KShs545.00.Current price is: KShs491.00. exc. VAT

Hidaya Yangu ISBN: 978 9966 63 133 6 Mwandishi: John Habwe Hidaya Yangu ni hadithi iliyo na mvuto mkubwa unapoisoma, Inasisimua, inadara, inahoji na wakati huo huo inakushawishi na kukupa ari ya kuisoma tena na tena. Imesimuliwa kiufundi ili kuangazia kinaya na hadaa ziandamazo maisha ya mwanadamu kila uchao.

Category:

Description

Hidaya Yangu
ISBN: 978 9966 63 133 6
Mwandishi: John Habwe
Hidaya Yangu ni hadithi ya Dena ya kujisaka ili kujielewa anapojipata anatapatapa katika ulimwengu uliojaa masaibu mengi, ubaguzi na maudhi ya kutokuwa na mama wala baba.
Ni hadithi ya kuchukiza, kuliza na hata Kutamausha. Hata hivyo, Dena anasimama kidete na kupigana dhidi ya changamoto za maisha kufa kupona. Anakataa kukubali kushindwa licha ya doa la usuli wake. Ni hadithi inayosisitiza ukweli kwamba Mungu akikupa kilema hukupa na mwendo pia.
Ni hadithi iliyo na mvuto mkubwa unapoisoma, Inasisimua, inadara, inahoji na wakati huo huo inakushawishi na kukupa ari ya kuisoma tena na tena. Imesimuliwa kiufundi ili kuangazia kinaya na hadaa ziandamazo maisha ya mwanadamu kila uchao.

Additional information

Weight 0.2 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X