Description
Author : Maillu
ISBN : 9789966341846
Muli na Ndungi ni marafiki wakubwa.Walimsaidia mvulana kwa jina Mumo kwenda nyumbani alipoteguka mguu wakicheza. Muli na Ndungi walipewa kila mmoja pakiti ya peremende na babake Mumo. Peremende za Muli ziliendelea kuongezeka.Peremende za Ndungi nazo ziliendelea kupunguka na mwishowe kumalizika. Je, ni kwa nini peremende za Muli ziliongezeka na za Ndungi kupungua?
Author : Maillu
ISBN : 9789966341846
| Weight | 0.05 kg |
|---|---|
| Author | Maillu |
| ISBN | 9789966341846 |
Your cart is currently empty!
Notifications