Maajabu ya Sudi

Original price was: KShs200.00.Current price is: KShs180.00. exc. VAT

Maajabu ya Sudi Mwandishi: Twaha Said Mbagga ISBN: 9789966342690 Sudi ni mvulana aliye na sifa za kiajabuajabu tangu anapozaliwa.Anazaliwa usiku wa manane,anatabasamu na ana sura jamali.Anapoanza kukua,anawashangaza wazazi na ndugu zake kwa jinsi anavyoelewa na kufanya mambo kwa haraka tofauti na watoto wengine.Vitendo vya Sudi pia vinawashangaza wanakijiji.Mambo mengi anayoyafanya Sudi yanafanya watu kuamini kuwa…

Out of stock

Description

Sudi ni mvulana aliye na sifa za kiajabuajabu tangu anapozaliwa.Anazaliwa usiku wa manane,anatabasamu na ana sura jamali.Anapoanza kukua,anawashangaza wazazi na ndugu zake kwa jinsi anavyoelewa na kufanya mambo kwa haraka tofauti na watoto wengine.Vitendo vya Sudi pia vinawashangaza wanakijiji.Mambo mengi anayoyafanya Sudi yanafanya watu kuamini kuwa yeye si mvulana wa kawaida.Je, ni mambo yapi anayoyafanya Sudi na yanayowashangaza wengi?

Additional information

Weight 0.05 kg
Author

Twaha Said Mbagga

ISBN

9789966342690

Select at least 2 products
to compare