Majasusi Chipukizi

Original price was: KShs295.00.Current price is: KShs266.00. exc. VAT

Malaika na Baraka wamezoea kumwona ombaomba mbele ya duka la Bwana Pembe kila wanapopita hapo. Wenyeji hawajui jina halisi la ombaomba huyo kwa hivyo wamembandika jina’Masumbuko’.Asubuhi moja,Malaika na Baraka wanamwona Masumbuko akiwa amejikunyata kama kuku aliyenyeshewa.Wanapomdadisi, anwaambia kuwa alivamiwa na chokora. Wanamshawishi baba yao,ambaye ni daktari, amsaidie Masumbuko apate matibabu ya bure.Masumbuko anasitasita anapoambiwa wazo…

Description

Mwandishi: Nandwa
ISBN: 9789966347961

Additional information

Weight 0.05 kg
Author

Nandwa

ISBN

9789966347961

Select at least 2 products
to compare