Maskini Popo

Original price was: KShs200.00.Current price is: KShs180.00. exc. VAT

Maskini Popo Mwandishi: Bosire ISBN: 9789966342317 Popo ana njaa sana. Anataka chakula.Anatafuta chakula kila mahali.Anaenda karibu na ndege.Ndege wanamfukuza.Popo anaenda karibu na wanyama.Wanyama wanamfukuza.Popo anaruka juu.Hajui afanye nini.Je, ni kwa nini ndege na wanyama wanamfukuza Popo?

Description

Popo ana njaa sana. Anataka chakula.Anatafuta chakula kila mahali.Anaenda karibu na ndege.Ndege wanamfukuza.Popo anaenda karibu na wanyama.Wanyama wanamfukuza.Popo anaruka juu.Hajui afanye nini.Je, ni kwa nini ndege na wanyama wanamfukuza Popo?

Additional information

Weight 0.05 kg
ISBN

9789966342317

Author

Bosire

Select at least 2 products
to compare