Mateso ya Johari

Original price was: KShs350.00.Current price is: KShs315.00. exc. VAT

Maisha yanapokuwa magumu kijijini,Johari anasaidiwa na Mzee Magufuli kuiondokea hali hiyo. Anapoondoka kijijini, anakumbana na Maisha tofauti; maisha yanayotisha na kuzubaisha.Je, bahati yake ataipata mjini? Atarejea kijijini? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu ya maswali haya. Mateso ya Johari ni hadithi inayosimuliwa kwa ufundi mkubwa na inayoibua mseto wa hisia.Ina mafunzo adhimu yatakayomfaidi msomaji…

Description

Mwandishi: Ng’ang’a
ISBN: 9789966342702

 

Additional information

Weight 0.1 kg
Author

Ng'ang'a

ISBN

9789966342702

Select at least 2 products
to compare