Description
Author : Mogambi
ISBN : 9789966341838
Siku iliyofuata,mwanamume aliyekisahau kitabu alirudi dukani na zawadi.Alikuwa amemletea Matu kitabu cha kupendeza. Kitabu chenyewe kilikuwa kimejaa picha za wanyama wa pori.Je, ni kwa nini Matu alipewa zawadi ya kitabu?
Author : Mogambi
ISBN : 9789966341838
| Weight | 0.05 kg |
|---|
Your cart is currently empty!
Notifications