Mchongoma

Original price was: KShs350.00.Current price is: KShs315.00. exc. VAT

Tuliondoka pale maziarani, mama akiwa mbele yetu kuongoza rubaa hadi kiamboni. Nilimtazama alivyotembea. Alikuwa mnyonge, gofu la mtu, kabaki mitulinga, nyonga na fuvu la kichwa. Alikuwa mnyonge mfano wa sabatele changaraweni. Tulitembea guu bandika guu bandua. Kimya. Unywele ungalianguka, ungaliusikia. Siku hii naikumbuka kama jina langu …

Description

Mwandishi: Mshenga
ISBN: 9789966342354

Additional information

Weight 0.05 kg
Author

Mshenga

ISBN

9789966342354

Select at least 2 products
to compare