Description
Sule ni mwanafunzi wa Darasa la Pili. Yeye anapenda masomo. Sule pia anapenda kucheza. Sule na marafiki wake wanacheza pamoja.Wao wanacheza michezo mbalimbali.Sile na marafiki wanacheza wakiwa shuleni na hata nyumbani.Je, ni michezo ipi ambayo Sule na marafiki wake wanacheza?





