Mti Wa Ajabu

Original price was: KShs200.00.Current price is: KShs180.00. exc. VAT

Mti wa Ajabu Mwandishi: Mpesha ISBN: 9789966342508 Katika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku.Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo,ndivyo ulivyopanuka.Mti huo ulitisha.Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia. Siku moja vijana…

Description

Katika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku.Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo,ndivyo ulivyopanuka.Mti huo ulitisha.Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia.

Siku moja vijana wawili wakakamavu waliamua kuukaribia.Je, waliangamizwa na mti huo wa ajabu au walirudi kijijini wakiwa wazima?

Additional information

Weight 0.05 kg
Author

Mpesha

ISBN

9789966342508

Select at least 2 products
to compare