Description
Mwandishi: Mutuku
ISBN: 9789966342294
Hamasa ya kutenda jambo ina msukumo mkubwa ambao aghalabu hushinda vizuizi vyovyote vile. Ari ya Bahati kuwa mwanahabari siku moja ilikuwa imara kama boriti licha ya changamoto nyingi alizokumbana nazo. Upinzani aliokabiliana nao ulitoka kwa baba yake na jamii yake kwa jumla. Bahati, hata hivyo, yu tayari kufanya lolote ili apate elimu itakayomwezesha kutimiza ndoto…
Mwandishi: Mutuku
ISBN: 9789966342294
| Weight | 0.1 kg |
|---|---|
| Author | Mutuku |
| ISBN | 9789966342294 |
Your cart is currently empty!
Notifications