Description
Mwandishi: Omusikoyo
ISBN: 9789966347961
Suki ni mwanafunzi wa Gredi ya Sita.Alikua akijiwekea akiba ili anunue kitabu cha picha za wanyamapori wakati wa likizo. Kabla ya siku ya kwenda kununua kitabu kufika,tukio la ajabu linatokea.Mwizi anaingia nyumbani kwa kina suki na kuiba kijisanduku cha Suki cha kuhifadhia pesa na vitu vingine. Askari polisi wanaarifiwa kuhusu wizi huo,lakini hawafanikiwi kumkamata mwizi.…
Out of stock
Mwandishi: Omusikoyo
ISBN: 9789966347961
| Weight | 0.05 kg |
|---|---|
| Author | Omusikoyo |
| ISBN | 9789966347961 |
Your cart is currently empty!
Notifications