+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Safari ya Yala na Malele

Original price was: KShs295.00.Current price is: KShs266.00. exc. VAT

Safari ya Yala na Malele ISBN: 978 9966 63 313 2 Mwandishi: Maillu Sifa ya Yala ya kupuliza firimbi kwa ustadi inasambaa kama moto nyikani.Inamfikia Mfalme.Mfalme anamtuma mtumwa wake ili amfikishie Yala mwaliko wa kufika kwake ili amburudishe.Maele anabahatika kujua kwanza kuhusu mwaliko huo.Anapotosha ujumbe ili asiachwe nyuma.Je, uongo wa Malele utamfikisha mbali?

Category:

Description

Safari ya Yala na Malele
ISBN: 978 9966 63 313 2
Mwandishi: Maillu

Sifa ya Yala ya kupuliza firimbi kwa ustadi inasambaa kama moto nyikani.Inamfikia Mfalme.Mfalme anamtuma mtumwa wake ili amfikishie Yala mwaliko wa kufika kwake ili amburudishe.Maele anabahatika kujua kwanza kuhusu mwaliko huo.Anapotosha ujumbe ili asiachwe nyuma.Je, uongo wa Malele utamfikisha mbali?

Additional information

Weight 0.3 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X