Sarufi Kwa Shule za Msingi

Original price was: KShs585.00.Current price is: KShs527.00. exc. VAT

Author : Alfred Kibandi Gakuru Sarufi Kwa Shule za Msingi ni kitabu kinachofafanua kwa kina dhana za sarufi zinazopendekezwa na silabasi kufundishwa katika shule za msingi. Dhana zimefafanuliwa kwa kutumia lugha rahisi. Aidha,mifano mwafaka imetolewa na baadaye mazoezi ya kutosha ili kuhakikisha kuwa mwanafunzi ameelewa dhana husika. Dhana zinazowatatiza sana wanafunzi zimepewa kipaumbele.

Out of stock

Description

Sarufi Kwa Shule za Msingi ni kitabu kinachofafanua kwa kina dhana za sarufi zinazopendekezwa na silabasi kufundishwa katika shule za msingi. Dhana zimefafanuliwa kwa kutumia lugha rahisi. Aidha,mifano mwafaka imetolewa na baadaye mazoezi ya kutosha ili kuhakikisha kuwa mwanafunzi ameelewa dhana husika. Dhana zinazowatatiza sana wanafunzi zimepewa kipaumbele.

Additional information

Weight 0.50 kg

Select at least 2 products
to compare