Simulizi ya Maisha Yangu

Original price was: KShs350.00.Current price is: KShs315.00. exc. VAT

Simulizi ya Maisha Yangu Author : Maillu ISBN : 978 9966 633 15 6

Description

Wairimu amepata nafasi ya kuabiri ndege kwa mara ya kwanza ili akawasimulie watoto wenzake wa Afrika kuhusu maisha yake.

Je, aliishi vipi tangu atelekezwe na wazazi wake katika mtaa duni jijini akiwa na umri wa miaka sita?

Jiunge naye katika hadithi hii ili akusimulie yote kuanzia utandu hadi utoko.

 

Additional information

ISBN

978 9966 633 15 6

Select at least 2 products
to compare

โš ๏ธ Important Notice: Annual Stocktake Closure

Please note that we will be closed for our annual stocktake from today, 26th November 2025, to Friday, 28th November 2025.

Any orders placed during this time will be processed starting Monday, 1st December 2025. Thank you for your patience!