+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Simulizi ya Maisha Yangu

Original price was: KSh350.00.Current price is: KSh315.00. exc. VAT

Simulizi ya Maisha Yangu Author : Maillu ISBN : 978 9966 633 15 6

Category:

Description

Wairimu amepata nafasi ya kuabiri ndege kwa mara ya kwanza ili akawasimulie watoto wenzake wa Afrika kuhusu maisha yake.Je, aliishi vipi tangu atelekezwe na wazazi wake katika mtaa duni jijini akiwa na umri wa miaka sita? Jiunge naye katika hadithi hii ili akusimulie yote kuanzia utandu hadi utoko.

 

Additional information

ISBN

978 9966 633 15 6

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X