Simulizi za Kibobu

Original price was: KShs295.00.Current price is: KShs266.00. exc. VAT

Ubiru aliinama. Kibobu akampanda mgongoni. Akamkanyaga na kusimama juu ya mabega yake. Lakini hapohapo walisikia sauti nzito ya Mzee Makapu. “Nani anataka kuniibia maembe yangu?” Ubiru aliruka pale.Akamtupa mwenzake aliyekuwa kakanyanga mabega yake.Sekunde chache,Ubiru alikua ametoweka.Amepotea.Akamwacha Kibobu pale chini.Alipoona mwenzake ameshakimbia na Mzee Makapu anamjia, Kibobu alitaka kuinuka akimbie.Mara alihisi mguu wake unampa maumivu makali.Alijaribu…

Description

Mwandishi: Mohamed
ISBN: 9789966342720

Additional information

Weight 0.05 kg
Author

Mohamed

ISBN

9789966342720

Select at least 2 products
to compare