SKILLTRACK KISWAHILI MARUDIO YA KPSEA GREDI 4,5,6

Original price was: KShs1,067.20.Current price is: KShs960.48. inc. VAT

Skilltrack Kiswahili KPSEA Revision (Grade 4,5,6) Authors : Mwalimu Kipande ISBN : 9789966638342

Description

Skilltrack Kiswahili Marudio ya KPSEA ni kitabu kilichoandikwa kwa ubunifu ili kumpa mwanafunzi nafasi ya kujikumbusha mambo aliyojifunza, kufanya mazoezi na kujitathmini. Yaliyomo yanatokana na mada na mada ndogo za Kiswahili cha Gredi ya 4, 5 na 6 katika Mtaala wa Kiumilisi. Kupitia kwa kitabu hiki, mwanafunzi atahusishwa:

  • kujibu maswali yanayofuata mtindo wa KPSEA,

  • kuyadurusu mambo muhimu aliyojifunza katika vitabu vya kiada vya Kiswahili,

  • kutathmini uelewa wa mwanafunzi wa dhana alizojifunza,

  • kusoma vifungu vya kusisimua vinavyoangazia masuala mtambuko na maadili,

  • kutumia lugha ya Kiswahili kwa usahihi katika mawasiliano yake ya kila siku,

  • kutumia vifaa vya kiteknolojia ili kuimarisha umilisi wa ujuzi wa kidijitali,

  • kuuimarisha uwezo wake wa uwazaji kina na utatuzi wa matatizo.

Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumpa mwanafunzi msingi imara katika somo la Kiswahili.

Elewa jana yako. Fahamu leo yako. Andaa kesho yako.

Additional information

Weight 0.2 kg
Author

Mwalimu Kipande

ISBN

9789966638342

Select at least 2 products
to compare