+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Stadi Za kiswahili – Gredi 4 Kitabu cha Mwanafunzi

Original price was: KShs600.00.Current price is: KShs540.00. exc. VAT

Stadi Za kiswahili – Shughuli Gredi 4 Kitabu cha Mwanafunzi Authors: Alfred Kibandi ISBN : 978 9966 63 320 0 Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: Kimeandikwa kwa kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 4. Maswali…

Description

Stadi Za kiswahili – Shughuli Gredi 4 Kitabu cha Mwanafunzi

Authors: Alfred Kibandi

ISBN : 978 9966 63 320 0

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

  • Kimeandikwa kwa kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 4.
  • Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo.
  • Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi,shughuli za wanafunzi wawilliwawili na za makundi ya wanafunzi.
  • Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 4.
  • Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote.
  • Yaliyomo yamepangwa kulingana na ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 4.
  • Kimejumuisha Umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi.
  • Kimeshughulikia masuala mtambuko yote.
  • Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.
  • Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza,Kusoma na Kuandika
  • Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi.
  • Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbali yanasomeka kwa urahisi.

Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 4 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X