Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 9

Original price was: KShs974.40.Current price is: KShs876.96. inc. VAT

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.

Category:
Tags:

Description

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.

Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:
• Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 9
• Maswali dadisi yametumiwa kumfikirisha mwanafunzi
• Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi
• Kimejumuisha mada na mada ndogo zote
• Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 9
• Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu
• Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 9
• Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi
• Kimeshughulikia masuala mtambuko yote
• Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi
• Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.

Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 9 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

Additional information

Author

Margaret Mukabane et al

ISBN

9789966636058

Select at least 2 products
to compare