Stadi za Kiswahili- Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7

Original price was: KShs620.00.Current price is: KShs558.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili- Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 AUTHOR : Mary NdungĂș et al ISBN : 9789966634580

Description

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

  • Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 7

  • Maswali dadisi yametumiwa kumfikirishia mwanafunzi

  • Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi

  • Kimejumuisha mada na mada ndogo zote

  • Yaliyomo yamepangw ang kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 7

  • Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu

  • Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 7

  • Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi

  • Kimeshughulikia masuala mtambuko yote

  • Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi

  • Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.

Haya na mengine mengi yanadhamiria kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 7 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

Additional information

ISBN

9789966634580

Author

Mary NdungĂș et al