Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8

Original price was: KShs720.00.Current price is: KShs648.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 Author : Mukabane et al ISBN : 978 9966 635 52 5

Out of stock

Description

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

  • Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 8
  • Maswali dadisi yametumiwa kumfikirisha mwanafunzi
  • Kimejumisha shughuli za mwanafunzi binafsi,shughuli za wanafunzi wawiliwawilina za makundi
  • Kimejumuisha mada na mada ndogo zote
  • Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 8
  • Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 8
  • Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi
  • Kimeshughulikia masuala mtambuko yote
  • Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi
  • Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza,Kusoma na Kuandika.

Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 8 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

 

Additional information

ISBN

978 9966 635 52 5

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.