Stadi za Kiswahili  – Mazoezi ya Kiswahili Kitabu cha Mwalimu Gredi ya 2

Original price was: KShs890.00.Current price is: KShs801.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili  – Mazoezi ya Kiswahili Grade ya 2 Kitabu cha Mwalimu Authors :  Mwalimu Kipande ISBN :  9789966636003

Description

Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya Pili ni kitabu kilichoandikwa kwa dhamira ya kumwezesha mwalimu kufanikisha ujifunzaji wa yaliyo katika Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2. Mwalimu anaelekezwa jinsi ya:

• kutumia maswali dadisi ili kumfikirisha mwanafunzi
• kukaza umilisi kulingana na mada ndogo mbalimbali
• kukuza madai kulingana na mada ndogo mbalimbali
• kushughulikia masuala mtambuko katika mada ndogo mbalimbali
• kubuni mbinu na vifaa vya kumtathmini mwanafunzi baada ya kushughulikia kila mada ndogo
• kubuni mbinu mwafaka za ujifunzaji kwa kuzingatia upekee wa mwanafunzi
• kutambua mahitaji maalum ya kielimu na jinsi ya kuwashughulikia wanafunzi wenye mahitaji hayo
• kutayarisha nyenzo za ujifunzaji
• kujinadaa kufanya ili kufanikisha vipindi vya somo la Kiswahili.

Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwalimu wa Gredi ya pili kusimamia ipasavyo vipindi vya somo la Kiswahili kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi.

Additional information

Weight 0.2 kg
Author

Mwalimu Kipande

ISBN

9789966636003

Select at least 2 products
to compare