Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwalimu – Gredi ya 4

Original price was: KShs890.00.Current price is: KShs801.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya Nne ni kitabu kilichoandikwa kwa dhamira ya kumwezesha mwalimu kufanikisha ujifunzaji wa yaliyomo katika Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Nne. Mwalimu anaelekezwa jinsi ya: kutumia maswali dadisi ili kumfikirisha mwanafunzi, kukuza umilisi na maadili kulingana na mada ndogo mbalimbali, kushughulikia masuala mtambuko katika mada…

Description

Author : Mwalimu Kipande

ISBN : 9789966636041

Additional information

Author

Mwalimu Kipande

ISBN

9789966636041

Select at least 2 products
to compare