Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya 1

Original price was: KShs560.00.Current price is: KShs504.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.

Description

Stadi za Kiswahili,Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Kwanza ni kitabu cha kiada cha Kiswahili kilichoandaliwa  kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.Kitabu hiki kina sifa kuu zifuataza:

  • Kinatumia Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Kwanza.
  • Kinatumia maswali dadidi kukuza umilisi wa uwazaji wa kina na utatuzi wa matatizo.
  • Kinajumuisha shughuli za mwanafunzi akiwa peke yake,akiwa na wenzake na akiwa na wenzake katika kikundi.
  • Kinajumuisha mada na mada ndogo zote zilizomo katika mtaala wa Kiswahili wa kiwango hiki
  • Yaliyomo yanawasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu
  •  Kinashughulikia matokeo yote maalum yanayotarajiwa kwa mujibu wa mtaala wa kiwango hiki
  • Kinajumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa mtaala wa Kiswahili wa Gredi ya Kwanza
  • Kinashughulikia masuala mtambuko kama inavyoelekezwa katika Mtaala wa Kiswahili wa Gredi ya Kwanza.
  • Kinakuza maadili kwa mujibu wa Mtaala wa Kiswahili wa Gredi ya Kwanza.
  • Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusomana Kuandika pamoja na Sarufi.

Hayo na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya Kwanza kutumia Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

Additional information

Author

Mwalimu Kipande

ISBN

9789966635976

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.