Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya 4

Original price was: KShs533.60.Current price is: KShs480.24. inc. VAT

  Stadi za Kiswahili,Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Nne ni kitabu cha kiada cha Kiswahili kilichoandikwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.Kitabu hiki kina sifa kuu zifuataza: Kinatumia Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Nne. Kinatumia maswali dadidi kukuza umilisi wa uwazaji wa kina na utatuzi wa matatizo. Kinajumuisha shughuli za mwanafunzi akiwa peke…

Category:
Tags:

Description

Author : Mwalimu Kipande

ISBN : 9789966636034

Additional information

Author

Mwalimu Kipande

ISBN

9789966636034

Select at least 2 products
to compare