Tafakari Ya Babu

Original price was: KShs270.00.Current price is: KShs243.00. exc. VAT

Tafakari ya Babu Mwandishi: Mdoe Swaleh ISBN: 978 9966 343 31 4 “Babu yangu aliniambia….” Tafakari ya Babu ni mkusanyo wa visa vifupivifupi ambavyo Bwana Mdoe ameshasimulia ama atasimulia wakati wa kusoma habari.Visa vilivyomo katika kitabu hiki vinasheheni mafunzo mengi mbali na ucheshi wa kuvunja mbavu. Watu wengi wametaka kujua,”Je, huyu babu yako Bwana Mdoe…

Description

“Babu yangu aliniambia….”

Tafakari ya Babu ni mkusanyo wa visa vifupivifupi ambavyo Bwana Mdoe ameshasimulia ama atasimulia wakati wa kusoma habari.Visa vilivyomo katika kitabu hiki vinasheheni mafunzo mengi mbali na ucheshi wa kuvunja mbavu.

Watu wengi wametaka kujua,”Je, huyu babu yako Bwana Mdoe ni mtu halisi anayeishi ama ni mhusika wa kubuni?”Huenda msomaji akang’amua jibu la swali hili na mengineyo baada ya kusoma kitabu hiki….

Additional information

Weight 0.05 kg

Select at least 2 products
to compare