Description
Mwandishi: Mogambi
ISBN: 9789966342494
Fumbo Musa ni kijana anayetoka katika familia maskini. Hata hivyo, mwajiri wa baba yake anaamua kumlipia karo ili asomee shule ya bweni ya Kaachonjo. Shuleni anakumbwa na hali ngumu kwa kuwa wanafunzi wengi wanatoka katika familia za walalaheri. Kutokana na bidii masomoni na uadilifu, Musa anateuliwa kuwa kiranja mkuu. Hata hivyo, cheo hiki hakimpi furaha…
Mwandishi: Mogambi
ISBN: 9789966342494
| Weight | 0.1 kg |
|---|---|
| Author | Mogambi |
| ISBN | 9789966342494 |
Your cart is currently empty!
Notifications