Wasichana Waliochezea Mbuyuni

Original price was: KShs270.00.Current price is: KShs243.00. exc. VAT

Wasichana Waliochezea Mbuyuni Mwandishi: Mungai ISBN: 9789966347565 Tulichea mwajificho hadi tukachoka tiki! Tuliketi hapo penye shina la mbuyu ili tupumzike kabla yakufumukana. Nilisikia sauti za cha! Cha! Cha! Niliangalia juu zilikotoka.Matagaa ya mbuyu yalikuwa yametanzana. Yalikua meusi tititi.Ghafla, nilimwona nyoka mkubwa akinyiririka kutoka kwenye tagaa moja.Alikuwa akiteremka, kuja mahali tulipoketi. “Jamani! Nyoka mkubwa anatujia!” nilipiga…

Description

Tulichea mwajificho hadi tukachoka tiki! Tuliketi hapo penye shina la mbuyu ili tupumzike kabla yakufumukana.

Nilisikia sauti za cha! Cha! Cha! Niliangalia juu zilikotoka.Matagaa ya mbuyu yalikuwa yametanzana. Yalikua meusi tititi.Ghafla, nilimwona nyoka mkubwa akinyiririka kutoka kwenye tagaa moja.Alikuwa akiteremka, kuja mahali tulipoketi.

“Jamani! Nyoka mkubwa anatujia!” nilipiga ukelele….

Additional information

Weight 0.05 kg
Author

Mungai

ISBN

9789966347565

Select at least 2 products
to compare