Wimbo wa Nungunungu

Original price was: KShs295.00.Current price is: KShs266.00. exc. VAT

Kifoto alisimama hapo njiani. Alitazama upande wa chini wa njia. Alimwona mtu fulani akitokea. Mtu huyo alikuwa mwanamume. Mwanamume huyo alikining’iniza kitu cheusi mkononi. Kifoto alirudi upande wa ndani wa boma lao. Alijificha katika ua uliokuwa kwenye ukingo wa njia. Alitaka kujua mtu aliyemwona alikuwa nani na alikuwa amebeba nini. Kifoto alitazama kwa makini njiani.…

Description

Mwandishi: Mungai
ISBN: 9789966347503

 

Additional information

Weight 0.05 kg
Author

Mungai

ISBN

9789966347503

Select at least 2 products
to compare