Description
Wavulana wa kijijini wanaruka mpaka na kuingia katika pango lilikuwamo shambani mwa Mzee Makuruhu.Mwenye shamba hakuwa nyumbani wakati huo.Kwa bahati mbaya,anarudi nyumbani wavulana hao wakiwa bado ndani ya pango.Mzee Makuruhu anapandwa na hasira za mkizi.Je, atawapa wavulana hao nafasi ya kutoka pangoni?
Reviews
There are no reviews yet.