Description
Mwandishi: Mogambi
ISBN: 9789966342346
Mzee Nuru aliwasimulia wanafunzi hadithi ya kusisimua.Hadithi hiyo inahusu zimwi lililokuwa likiwashambulia wanakijiji wa Pumbao na kuwaua wengi. Zimwi hilo halikuonekana wala kujulikana.Lilisemekana liliishi katika msitu mkubwa uliokuwa karibu na kijiji.Vijana waliamua kulisaka zimwi hilo lakini wakaambulia patupu. Kitendawili cha zimwi kilizua taharuki kijijini.Mkutano uliandaliwa huku kukiwa na shuku na shauku… Zimwi Hilo ni…
Mwandishi: Mogambi
ISBN: 9789966342346
| Weight | 0.05 kg |
|---|---|
| Author | Mogambi |
| ISBN | 9789966342346 |
Your cart is currently empty!
Notifications