Your cart is currently empty!
Your cart is currently empty!
Taswira za Mawingu Mwandishi: Mukuba Sinjiri ISBN: 978 9966 34 409 0 Taswira za Mawingu ni riwaya inayosimulia hadithi ya ujasiri na kutotamauka.
Out of stock
Taswira za Mawingu
Mwandishi: Mukuba Sinjiri
ISBN: 978 9966 34 409 0
Taswira za Mawingu ni riwaya inayosimulia hadithi ya ujasiri na kutotamauka. Kulesoni, mhusika mkuu, anazaliwa katika mazingira magumu ambayo mwanzo, kutokana na ukembe, hayafahamu. Kadri anavyokua ndivyo ukweli unavyompambanukia na kumpa ikisiri kamili kuhusu maisha. Hata hivyo, bidii na ari vinaungana na werevu wake wa kuzalikana pamoja na msukumo wa chimbuko na mazingira alimoibukia kumpa ubora wake kivyake katika nyanja mbalimbali; na hasa masomo. Suala la ni wapi atokako na ni wapi angelikopenda kuelekea linamtia kani ya kipekee.
Hadithi hii imesimuliwa kwa tashtiti na ucheshi wa kuvunja mbavu ili kufichua, kukemea na kubeza maovu na ujinga uliokita mizizi katika jamii.
| Weight | 0.2 kg |
|---|
โ ๏ธ Important Notice: Annual Stocktake Closure
Please note that we will be closed for our annual stocktake from today, 26th November 2025, to Friday, 28th November 2025.
Any orders placed during this time will be processed starting Monday, 1st December 2025. Thank you for your patience!
Notifications